Hadith

hadiythi ya Ibn ‘Abbaas radhiya Allaahu ‘anhumaa aliposema kwamba:
“Alikuwa Mtume Swalla Lllaahu ‘Alayhi Wa’alaa Alihi Wasallam ni mbora -mwenye matendo mema- wa watu, na alikuwa mbora zaidi katika Ramadhaan wakati anapokutana na Jibriyl alikuwa akimjia kila usiku wa Ramadhaan akimfundisha Qur-aan” Imepokelewa na Bukhaar, kitabu cha Swawm, mlango alikuwa Swalla Allaahu ‘Alayhi Wa‘alaa Aalihi Wasallam mbora zaidi katika
Ramadhaan

About Me

Powered by Blogger.

Muda


Daily Hadith

Aya ya Quran

TAREHE


Kila siku Aya ya Qur'an